habari

UNESCO yawakutanisha wadau kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll

on

GY3A7478
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo(katikati) akifungua kikao cha kujadili pamoja na kupitisha mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos
GY3A7632
GY3A7466
 Mkuu wa Kitengo cha Elimu katika Shirika la UNESCO nchini, Faith Shayo akiwasilisha mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll kwa wadau kutoka MoEST, Wizara wa Kilimo, UNESCO, NACTE, TCCA, ATE, VETA pamoja wadau wa maendeleo  wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam
GY3A7563
GY3A7536
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos(kushoto) akitolea ufafanuzi baadi ya vipengele vya mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo.
GY3A7470
Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Dk. Noel Mbonde(kulia) akichangia mada wakati wa majadiliano pamoja na kupitisha mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
GY3A7408
Ofisa mipango ya Elimu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Jennifer Kotta  akichangia mada wakati wa majadiliano pamoja na kupitisha mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
GY3A7570
GY3A7581

GY3A7474
GY3A7485
GY3A7535

GY3A7541

Baadhi ya wadau kutoka MoEST, Wizara wa Kilimo, UNESCO, NACTE, TCCA, ATE, VETA pamoja wadau wa maendeleo wakichangia mada wakati wa kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
GY3A7562
Mkuu wa Kitengo cha Elimu katika Shirika la UNESCO nchini, Faith Shayo akijibu maswali ya  wadau wakati wa kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR llwenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam.

GY3A7609
GY3A7613

Majadiliano yakiendelea

GY3A7505
Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo  akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki kutoka MoEST, Wizara wa Kilimo, UNESCO, NACTE, TCCA, ATE, VETA pamoja wadau wa maendeleo wakati wa kikao cha kujadili pamoja na kupitisha mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam.

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *