michezo

Wadau Wa Soka Wasema Sababu Ya Timu Ya Majimaji Kushuka Ligi Ni Viongozi Wenyewe.

on

Baada ya timu ya MAJIMAJI kutoka mkoa wa Ruvuma kushuka rasmi ligi kuu ya Tanzania bara katika msimu 2017/2018 mashabiki wa klabu hiyo wameitumia lawama baadhi ya viongozi kusema wamechangia kwa kiasi kikubwa kuifikisha klabu hiyo hapo ilipofikia,klabu hiyo sasa inaungana na timu ya NJOMBE MJI kutoka mkoani NJOMBE.

 

About Innocent Chambi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *