habari

Watatu Walioambukizwa Virusi Vya Ebola Waruhusiwa Kutoka hospitali.

on

Wahudumu wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema wagonjwa watatu walioambukizwa virusi vya Ebola wametoka hospitali wakati ambapo juhudi zinafanyika kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo katika mji wa Mbandaka.

Msemaji wa shirika la afya duniani WHO amesema wagonjwa wawili waliondoka hospitalini mapema wiki hii na kuweza kwenda kanisani na ndugu zao.

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *