We have 242 guests and no members online

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA LA OFISI YA MTAKWIMU MKUU ZANZIBAR

ika

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( wa pili kulia) akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mhe, Balozi Seif Ali Iddi wakati alipowasili Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar jana, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Fedha na Mipamgo Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed.

ika-1

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Bara Dkt.Ashatu Kijaji,mara alipowasili  Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar jana, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Waziri wa Fedha na Mipamgo Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed.

ika-2

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( katikati) na Mwakilishi wa Benki ya Dunia Bibi.Elizabe Ann Talbert (kulia) wakifungua pazia kuashiria Uwekaji wa jiwe la Msingi  jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar huko   Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi leo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

ika-3

Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar,uliowekwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein huko Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

ika-4

Mkandarasi wa Ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar  Nd,Edwin Shitindi kutoka alipokuwa akitoa maelezo ya Kitaalam kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupi pichani) baada ya kuliweka jiwe la msingi jengo hilo jana, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

ika-5

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake baada ya kuliweka jiwe la msingi jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar jana, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Fedha na Mipamgo Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed,[Picha na Ikulu.] 06/01/2017.(PT)

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA